Jere alirauka asubuhi huku akijivuta na kujinyoosha. Alienda mwayo mnene ukikiacha kinywa wazi kwa muda mrefu. Bila shaka alikuwa akihitaji kila chembe cha oksijeni kilichokuwa kwenye mazingira yale. Mikono ikarefushwa kwenda kulia na kushoto huku akipiga kite na kuguna hata kuku wa jirani waliokuwa mle wakajikusanya baada ya kumkodolea macho, wakapuruka. Kweli kujinyoosha huku hakukuwa […]
Wakati mmoja palikuwa na tajiri mmoja kwenye mji mkubwa. Tajiri huyu alikuwa mtu mwema na mkarimu. Aliwapenda watu sana na kuwasaidia kwa mambo mbali mbali. Kwake, kulikuwa na mfanyakazi mmoja wa umri wa katikati. Huyu naye alikuwa mwema sana na walipendana sana na tajiri wake. Siku moja huyu tajiri alimtuma mfanyakazi wake kwenda sokoni kumnunulia […]