May he console those that are still mourning. May he provide for those whose provisions went away with the husband. May he bring justice to those that still face injustices with no protector. May he be the father of the still growing siblings who need fatherly guidance.
Read More
He looked at me in return to a glance that I had thrown at him. He even appeared to smile at me. As I was about to reciprocate to the
Jere alirauka asubuhi huku akijivuta na kujinyoosha. Alienda mwayo mnene ukikiacha kinywa wazi kwa muda mrefu. Bila shaka alikuwa akihitaji kila chembe cha oksijeni kilichokuwa kwenye mazingira yale. Mikono ikarefushwa
Wakati mmoja palikuwa na tajiri mmoja kwenye mji mkubwa. Tajiri huyu alikuwa mtu mwema na mkarimu. Aliwapenda watu sana na kuwasaidia kwa mambo mbali mbali. Kwake, kulikuwa na mfanyakazi mmoja